BANDA MEDIA BLOG

MATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO APRILI 18,2024

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kiwete, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG