BANDA MEDIA BLOG

MCHAMBUZI: Anayewasumbua Simba, Wanashindwa Kukaa Sawa ni Mohammed Dewji

 


“Kwa uchunguzi wangu nilioufanya sasa hivi anayewasumbua Simba ,wanashindwa kukaa sawa ni mwekezaji wao Mohammed Dewji “

“Mohammed Dewji sasa hivi ndio tatizo la Simba kama wanasimba hawajui ,toka alipoacha nafasi yake,timu kaitelekeza”

“Viongozi waliopo kwenye bodi ndio wanaopambana kujichangisha na kuhakikisha timu inakwenda”

“Timu ikifanya vizuri mashabiki wanatoa credit kwa Mo ,lakini Mo yupo mbali na Simba,Simba inaendeshwa kwa fedha za CAF, udhamini na kujichangisha,Mo hatoi hela”

“Msimu ukiisha hela ambayo Mo anatoa ni Bilioni 2.4 katika Bilioni 20 aliyowekeza ambayo kiuendeshaji haitoshi”

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG