Spka wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt. Tulia Acson akimkabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza Wanaumewa Mbio za Nusu Marathon zilizoandaliwa na Bunge.
Spka wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Acson akimkabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wanawake wa Mbio za Nusu Marathon zilizoandaliwa na Bunge.
Katibu wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Nenewa Mwihambi akimkabidhi zawadi ya Mshindi wa Pili wanawake Km. 21 za Bunge MarathonWafanyakazi wa Bunge la Tanzania wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya mbio za Marathon kukamilika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson akimkabidhi Mzee Mashaka zawadi ya Fedha Tasilimu Baada ya kushiriki Bunge Marathon na kufanikiwa kumaliza Km. 5
Mbunge William Lukivi akimaliza km. 5 kwenye mbio hizo
Mmoja wa Washiriki mwenye Ulemavu wa Miguu Kessy wa Visa akiwa kaitika picha ya pamoja na washiriki wenzake
ILanzo Jogging ni moja ya Vilabu vilivyoshiriki Bunge Marathon 2024