Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu kwenye Sala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024.
Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajab Shaban Akitoa Mawadha kwa waumini wa Dini ya Kiislam walikusanyika wakati Sala ya Eid Elfitri, iliyofanyika katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amejumuika na waumini wa kiislamu kwenye Sala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua iliyosomwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajab Shaban kwenye Sala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri wakati alipowasili katika Msikiti wa Gaddafi mjini Dodoma kushiriki Sala ya Eid Elfitri, Aprili 10.2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu baada ya kushiriki katika Sala ya Eid Elfitri kwenye Msikiti wa Gaddafi