BANDA MEDIA BLOG

HATIMAE MUIGIZAJI NGULI ATANGAZA KUMUOA DADA MANKA ALIYEJITANGAZA KUOGOPWA NA WANAUME KUTOKANA NA KUWA NA NDEVU

 

Dada manka mwenye ndevu  ambaye alieleza jinsi alivyokaa mda mrefu bila kupata mume .. Bahati yake imeangukia kwa muiguzaji mkongwe na askari Hashimu kambi ambaye ameahidi kumuoa na kuisha nae.. Ikumbukwe mke wake Hashimu Kambi ameshafariki Dunia kwahiyo ameamua kumuoa mwanamke mwingine na bahati imeangukia kwa Dada manka mwenye ndevu..Acha  wivu wape hongera kwenye Maisha Yao mapya.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG