Ukweli ni kwamba warahibu wengi wa uvutaji Sigara wanatamani kuondoka katika mtindo huo wa maisha lakini wanashindwa, sio kazi rahisi hata kidogo, ukiona mtu amefanikiwa ni jambo la kumpongeza sana.
Nasema hivyo kwa sababu mimi ni mmojawapo wa watu waliopitia changamoto hiyo miaka ya nyuma, nilitamani kuacha lakini nikashindwa, hadi nikatumia na dawa mbalimbali ila sikufanikiwa.
Jina langu ni Moses kutokea Kilimanjaro, Tanzania, nilianza kuvuta sigara tangu kipindi nipo kidato cha nne, nilikuwa navuta kwa siri bila hata familia yangu kujua.
Nilipomaliza Shule nilianza maisha ya kujitegemea, katika ghetto langu ndipo urahibu wangu kuvuta sigara ulipoanza hasa, kila siku nililiwa navuta sigara zaidi tano hadi kuna wakati nikawa nasikia kifua kinawaka moto na kuuma.
Maumivu ya kifua kila mara ndio hasa yalipelekea nifikirie kuachana na uvutaji Sigara lakini kila ambapo nilikuwa najaribu nilikuwa nashindwa.
Basi nilianza kutafuta dawa za kuacha sigara sehemu mbalimbali, niliweza kupata za aina ladhaa na kuzinunua na kuzitumia kwa muda mrefu lakini hali ilizidi kuwa mbaya, ningeweza kuacha kama siku mbili lakini ya tatu kiu ya Sigara inakuwa ni kubwa sana na kujikuta nimevuta.
Siku moja nikiwa Bar nakunywa huku navuta sigara yangu, mtu mmoja wa karibu yangu aliniambia kuwa akisikia harufu ya Sigara anajisikia vibaya sana ingawa mwanzo naye alikuwa mvutaji.Mwisho.
