BANDA MEDIA BLOG

RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA DARAJA LA BEREGA KILOSA MKOANI MOROGORO



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi Daraja la Berega lililopo Wilayani Kilosa katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Daraja la Berega lililopo Kata ya Berega ambalo limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia SuluhuHassan, Kilosa Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Berega, Wilayani Kilosa katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kata ya Berega Wilayani Kilosa mara baada ya kufungua Daraja la Berega katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Kata ya Berega mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Kata hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Daraja la Berega, Kilosa Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG