BANDA MEDIA BLOG

RAIS SAMIA AZINDUA SAFARI ZA TRENI YA SGR JIJINI DODOMA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuzindua rasmi Miundombinu ya Reli na Huduma za Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwenye hafla iliyofanyika Stesheni ya SGR Mkoani Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni Kuu ya SGR Dodoma kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa Miundombinu ya Reli na Huduma za Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma 

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja Wananchi mara baada ya kuzindua Rasmi Miundombinu ya Reli na Huduma za Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwenye hafla iliyofanyika katika Stesheni Kuu ya SGR Mkoani Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.         

 

 

 

 

   

Baadhi ya Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Miundombinu ya Reli na Huduma za Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwenye hafla iliyofanyika katika Stesheni Kuu ya SGR Mkoani Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.

Baadhi ya Viongozi wa Dini waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Miundombinu ya Reli na Huduma za Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma katika Stesheni Kuu ya SGR Mkoani Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.   

Matukio mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Miundombinu ya Reli na Huduma za Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma katika Stesheni Kuu ya SGR Mkoani Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024. 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG