BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI MKUU ATEMBELEA VIWANDA NA VITUO VYA UTAFITI VYA LABIOFAM NA CIGB NCHINI CUBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kiwanda na Kituo cha Utafiti kinachotengeneza chanjo  za magonjwa mbalimbali cha Biocuba Farm (CIGB) kilichopo Lalise nchini Cuba baada ya kukitembelea, Agosti 13, 2024. Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na kulia kwake ni Rais wa Shirika la CIGB, Bi. Mayd Mary’s na kushoto ni Balozi wa Cuba nchini TanzaniaYordenis Despaigne Vera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rodi Manuel Valdes ambaye ni rais wa Kiwanda na Kituo cha Utafiti kinachotengeneza Viatilifu na Viuadudu cha Labiofam kilichopo Boyeros nchini Cuba alipokitembelea, Agosti 13, 2024. Mheshimiwa waziri Mkuu alikuwa katika ziara maalum ya kuboresha mahusiano kati ya Cuba na Tanzania.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kiwanda na Kituo cha Utafiti kinachotengeneza Viatilifua na Viuadudu cha Labiofam kilichopo Boyeros nchini Cuba alipokitembelea, Agosti 13, 2024.  Wa tatu kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, wa pili kulia ni Rais wa kiwanda hicho Rodi Manuel Valdes na kushoto ni Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Yordenis Despaigne Vera. Mheshimiwa waziri Mkuu alikuwa katika ziara  maalum yakuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Cuba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa kiwanda na kituo cha utafiti  kinachotengeneza Viatilifua na Viuadudu cha Labiofam kilichopo Boyeros nchini Cuba alipokitembelea, Agosti 13, 2024. Alikuwa fatica zara maalum ya kuboresha  mahusiano kati ya Tanzania na Cuba. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini humo, Humphrey Polepole . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda na kituo cha utafiti kinachotengeneza Viatilifu na Viuadudu cha Labiofam kilichopo Boyeros nchini Cuba, Agosti 13, 2024. Kulia kwake ni rais wa kiwanda na kituo hicho  Rod Manuel Valdes. Waziri Mkuu alikuwa katika ziara maalum ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Cuba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG