Wanawake wasio na Kazi wanakua hawana mambo mengi. Ukitoka kwenye mihangaiko yako anakupokea na kukukaribisha Nyumbani kwa furaha. Utakuta chakula kishaiva, utakuta Watoto wasafi kama mmebahatika kuwa nao, hata ukimuachia hela ya matumizi anatumia Vizuri tena unampa hela kwa furaha kabisa. Mkibahatika kupata Mtoto hutakuwa na mawazo ya Mtoto wako kupigwa na House girl. Ukitembelewa na Familia, hawataboreka kwani muda wote watakua na mwenyeji Mama mwenye Nyumba.
Jidanganye uoe Mwanamke mwenye Kazi. Asilimia kubwa wanarudi wamechoka kiasi kwamba hata mkilala hakugeukii wala hataki umguse. Atataka haki sawa eti akipika wewe ufue Nguo au umsaidie Kupika. Mara chache atakutengea Maji ya kuoga. Muda mwingi anatoka Kazini amenuna, hata akichelewa hataki umuulize alikua wapi.
Wana viburi sana, ukiwauliza kitu wanajibu kwa nyodo, hatakusikiliza. ukimsemesha kidogo tu ataenda kulala kwa marafiki zake au kwa ndugu zake. Haoni aibu kukukolomea Mwanaume hata mbele za watu. Anajifanya anawivu sana, atapiga Simu kila dakika kukuuliza ulipo as if wewe mtoto mdogo hujui pa kwenda wala cha kufanya.
Na ukiwa uliwahi kupata watoto kabla ya kumuoa duu hiyo inakuwa ngonjera na mashairi ya kukunanga kuwa wewe ni malaya mbwa wa kutupwa usioona sketi mbele yako yaani anakugeuza Mnyama au ndege aina ya kukuna na Bata, huku yeye akijiweka nafasi ya malaika wakati wewe ukiwa shetani wa kutupwa motoni.
Aina hiyo ya wanawake mkijaliwa kupata mtoto au watoto hata yale mapenzi kiduchu aliyokuwa nayo kwako huyahamishia kwa mtoto tena ukikaa vibaya utanyimwa hata haki ya kumpa jina akijifanya anampa la kwenye Google kama vile Hiyo google ndiyo Baba ya mtoto.
wanavunja maadili, nidhamu na hata kuvunja mila, Desturi na tamaduni zetu kutokana na viburi visivyo na maana.
Anapewa Mshahara lakini hautojua unaenda wapi kwani kila siku utaombwa hela ya Salon na matumizi mengine. Siku ukiishiwa utakashifiwa, kuhelelezwa na kusimangwa, huku akikulaani kama vile yeye ndiye Mungu
Siku akifurahi atakuletea zawadi ya Shati, mara moja kwa Miezi Mitano au mwaka mzima kana kwamba halipwi Mshahara. DUWASA wakimkuta hatawapa hela yake hata kama anayo, atawambia hayupo.
Ukioa Mwanamke mwenye kazi utamfaidi siku ukiumwa, ataomba ruhusa ili aje akuhudumie, atakununulia sana Socks na Matunda Matunda. akitaka kununua kitu atakua na kianzio sana sana ataomba umuongezee Hela.
Siku akifurahi atakuletea zawadi ya Shati, mara moja kwa Miezi Mitano au mwaka mzima kana kwamba halipwi Mshahara. DUWASA wakimkuta hatawapa hela yake hata kama anayo, atawambia hayupo.
Ukioa Mwanamke mwenye kazi utamfaidi siku ukiumwa, ataomba ruhusa ili aje akuhudumie, atakununulia sana Socks na Matunda Matunda. akitaka kununua kitu atakua na kianzio sana sana ataomba umuongezee Hela.
Tags
Mapenzi

