BANDA MEDIA BLOG

MAJALIWA ASHUHUDIA MADIWANI WA CUF, ACT WAZALENDO WAKIREJEA CCM


 MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akisalimia na Madiwani wawili waliohamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni aliyekuwa Diwani wa Milola, Bw. Hussein Kimbyoko kutoka Chama cha Wananchi (CUF) na kulia ni Diwani wa Rutambi, Bw. Athumani Mmaije kutoka Chama cha ACT – Wazalendo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG