RAIS SAMIA AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA USAID NCHINI MAREKANI
byJohn Banda-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzunguma na Naibu Kiongozi Mkuu wa USAID Bi. Isobel Coleman leo tarehe 31 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.