BANDA MEDIA BLOG

DEREVA WA AJALI YA BASI LILILOBEBA WABUNGE ALIFANYA UZEMBE - RPC KATABAZI

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi George Katabazi ametoa ufafanuzi kuhusu ajali iliyohusisha Lori na Basi la Shabiby lililokuwa linasafirisha wabunge kwenda kwenye mashindano ya michezo ya mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mombasa Kenya, iliyotokea majira ya saa 2 asubuhi eneo la Mbande, wilayani Kongwa, Dodoma.




Kamishna Msaidizi Mwandamizi George Katabazi.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG