BANDA MEDIA BLOG

RAIS SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA DKT. NDUGULILE

 

    

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG