Wananchi wa kijiji
maji safi na salama kwa zaidi ya miaka 30 ambapo kutokana na ukosefu huu, wamekuwa wakilazimika kutumia maji ya Mto Ruvu kwa mahitaji yao ya kila siku, hali ambayo imechangia ongezeko la magonjwa ya tumbo na mengine yanayosababishwa na
matumizi ya maji machafu.
LENI KIVUNGE na SILVANO HUSSEIN
Wakizungumza kijijini hapo walieleza changamoto wanazokabiliana nazo.
alisema Leni

hali hiyo imekuwa ikisababisha mzigo mkubwa, hususan kwa wanawake na watoto ambao ndio hufanya kazi ya kuchota maji.
hiyo imeathiri maendeleo yao kwani muda mwingi hutumika kutafuta maji badala ya kushiriki shughuli za kiuchumi.
Silvano amesema wao wamekuwa wakitumia maji hayo ambayo sia safi wala salama ambayo yamekuwa yakibeba takataka nyingi ambazo ni hatari kwa Maisha yao.
“Kwa hiyo tunaomba mbunge
atusaidie sana ikiwezekana atutembelee kijijini kwetu aone na tumpe mawazo yetu ili aweze kutusidia tuondokane na changamoto hii’Alisema Silvano
Mbunge wa Same Magharibi
almaarufu “mwana wa Kaya”akiwa katika ziara ya kutekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 aliyoipa jina la Operesheni Ahadi, amesikia kilio hicho na kutoa msaada wa mabomba 25 kwa ajili ya kusambaza kijijini hapo ili kuwasaidia kupunguza umbali wa kufuata maji.
ninawapatia roller za maji 25 kwa ajili
ya kusambazia maji wananchi wangu wapate maji kule kwa sababu nao wamenipa kura mimi mbunge ili ikifika 2025 wakija hapa wakisema ntafanya hivi vile watakuta Mathayo keshafanya” alisema
Mathayo.
Mathayo amesema anajua kuwa
wananchi wa eneo hilo walikuwa wakipata shida kubwa ya maji hivyo mradi huo utakapokamilika utasaidia kusambaza maji katika eneo la Chekereli na wakina mama itasaidia kuwatua ndoo kichwani ili wasihangaike sana kwa sababu wamezaa mtoto wa kiume anaitwa Mathayo.
Wananchi wameishukuru mbunge
Mathayo kwa hatua hiyo ya awali, lakini wamesisitiza haja ya kutekelezwa kwa mradi wa maji safi haraka iwezekanavyo ili kuokoa maisha yao na kuboresha hali
ya maisha.


