Misingi Bora ya CCM, iliwekwa na wazee wetu kama hawa waliokua wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM 2022-2007
Marais wa Tanzania kwa Awamu Tofauti zilizopita..!!Sehemu ya Wajumbe wa K/K CCM 2002/7
Hotuba ya Uzinduzi wa Kumnadi Dr. Shein kama ilivyotolewa na Rais wa Zanzibar wa awamu ya 7 Dkt. Amani Karume huko Kibanda Maiti..



