BANDA MEDIA BLOG

TUNAWAACHA WALE WANACHEZEA NDEVU, SISI TUNASHIKA DOLA - WASIRA

 

Makamu Mwenyekiti mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CVCM), Stephen Wasira akihutubia wakati wa mapokezi yake yaliyoandaliwa na CCM Mkoa wa Dodoma katika Makao Makuu ya chama hicho Januari 23, 2025.

Wasira amesema kuwa kazi yake kubwa ni kuhakikisha CCM inashinda katika uchaguzi ujao na kuwaacha wapinzani wakiendelea kuchezea ndevu huku chama hicho kikiendelea kushika Dola.

Vijana wakishangilia wakati Wasira akihutubia.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma akiwatambulisha viongozi mbalimbali.
Spika mstaafu, Job Ndugai akitambulishwa kwenye mkutano huo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akiuombea mkutano huo kwa sala.

Sehemu ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano huo.



Wasira akipokea zawadi mbalimbali.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG