BANDA MEDIA BLOG

NDEREMO NA VIFIJO VYATAWALA KATIBU UWT AKISHEHEREkEA BAADA YA KUFUNGA NDOA TAKATIFU NA MUMEWE


 February 15 2025

Ni siku ya shangwe na nderemo na furaha isiyosahauka kwa katibu wa  Umoja wa Jumuiya  wa wanawake Tanzania UWT CCM Tawi la chinyoyo kata ya kilimani Jijini Dodoma Bi Domina Kiria kufunga pingu za maisha na  bwana Godfrey Mwasi ndoa takatifu ilifungwa katika kanisa katoliki la Mt. Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma na kufuatiwa na tafrija ya kuwaongeza maharusi hao iliyofanyika katika ukumbi wa Ulanga hotel Jijini Dodoma.

Picha na Barnabas Kisengi Dodoma








 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG