BANDA MEDIA BLOG

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA UKOMO WA BAJATI BUNGENI DODOMA











 Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa ameongoza Mkutano wa Wabunge wote wa  uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Mpango wa Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 uliofanyika leo tarehe 11 Machi, 2025 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo pamoja na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba waliwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.

Vile vile, Mkutano huo ulihudhuriwa na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG