Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bw. Mavere Tukai akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Bohari ya Dawa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 19, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO, jijini Dodoma.
MSD YATANGAZA MAFANIKIO YA MIAKA 4 YA SRRIKAILI YA AWAMU YA SITA
byJohn Banda
-
0


