BANDA MEDIA BLOG

RAIS SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI WA SIASA, SERIKALI, DINI NA MAKUNDI MAALUMU PEMBA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 24 Machi, 2025.


Viongozi wa dini, wazee wa mkoa wa Kusini Unguja, wageni kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 24 Machi, 2025.


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG