Mwakilishi wa viti maalum mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwantatu Mbaraka Khamis amewakabidhi fedha taslim Sh Millioni 2 na Michele kilo 200kg waumini wa dhehebu la kristo wa kanisa la Kidimni na Mpapa ya Wilaya ya Kati kwa ajili ya kusheherekea skukuu ya Pasaka
MWAKILISHI VITI MAALUMU KUSINI UNGUJA AWAPA MKONO WA PASAKA WAKRISTO WA KANISA LA KIDIMNI
byJohn Banda
-
0
.jpg)
.jpg)