BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI KUSIMIKWA ASKOFU CHANDE WA KANISA LA KARMELI ASSEMBLIES OF GOD DODOMA

  Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wakichangia damu katika shughuli iliyofanyika katika Kanisa la KAG.

Katibu Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), akielezea kuhusu maandalizi ya sherehe ya kusimikwa  kwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Dkt. Evance Chande zitakazo fanyika eneo la kanisa hilo Ipagala jijini Dodoma  Jumamosi ya Aprili 19, 2025. Maandalizi hayo yameenda sambamba na waumini kujitolea damu ya kusaidia wagonjwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.

Mgeni rasmi katika tukio hilo muhimu anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.


















Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG