Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Wizara hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Aprili 17, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO, jijini Dodoma.
WAZIRI SIMBA CHAWENE AELEZEA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4
byJohn Banda
-
0


