BANDA MEDIA BLOG

NEEMA MAJULE AMPONGEZA DKT. SAMIA NA WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM



 Mwenyekiti wa UWT MKOA WA DODOMA Dr.Neema Majule anamshukuru Dkt. Samia Suluhu Hasani Mwenyekiti wa CCM, pamoja na wajumbe wa kamati kuu kwa kazi nzuri ya uteuzi wa majina ya wagombea wa Ubunge wa majimbo, Uwakilishi na viti maalumu, hapa nchini 

Aidha Majule anakishukuru Chama kwa kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge UWT mkoa wa Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG