BANDA MEDIA BLOG

RC AZITISHIA NYAU SIMBA NA YANGA

 


Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Paulo Chacha  amezitia timu za Ligi Kuu kwamba zitapigwa kipigo cha mbwa koko kutokana na kuunda Tabora United imara yenye wachezaji vijana chini ya miaka 25 pamoja na timu imara ya soka ya wanawake.


RC Chacha  ametoa tishio hilo alipokuwa akimalizia kuzungumza na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 11, 2025, kuelezea  mafanikio ya miaka minne ya Mkoa huo katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la kuhitimisha mkutano huo.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG