Maelfu ya Wana CCM wamefurika leo katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam, kushuhudia *uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu kitaifa* wa CCM tarehe 28 Agosti 2025. Huu ni uthibitisho wa mapenzi makubwa na mahaba ya wanachama na watanzania kwa Chama Cha Mapinduzi na viongozi wake, wakiongozwa na *Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel
Tags
SIASA









