Watanzania wametakiwa kuitunza na kuilinda amani iliyopo hapa nchini kwa nguvu na wivu mkubwa..
Wito huo umetolewa na Balozi wa Amani Duniani Dkt. Daudi Msuya wakati akizungumza kwenye Mahafali ya Shule za Msingi na Sekondari za Safepa zilizopo Kata ya Mkundi Mkoani Morogoro alipoalikwa kuwa Mgeni Rasmi.
" Msingi wa Maendeleo kaika nchi yoyote Duniani ni Amani.", amesma Dkt. Msuya
Tags
HABARI


