Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (katikati) pamoja na Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard (kulia) mara baada ya misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Benedict, Abasia ya Peramiho, Parokia ya Peramiho Jimbo Kuu la Songea Mkoani Ruvuma leo tarehe 15 Desemba, 2025.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Tags
Bunge