BANDA MEDIA BLOG

"FUMBWE ACHA UCHAWA, MONDI HAJAWAHI KUTOA KIASI HICHO CHA PESA KUMLIPIA BABA MATIBABU- SABRINA

 

Aidha, Sabrina amemkumbusha Fumbwe kuwa nafasi aliyonayo sasa ni matokeo ya msaada mkubwa aliopata kutoka kwa baba yake, Mkubwa Fella, kwani hapo awali alikuwa dereva bodaboda kabla ya Fella kumkutanisha na Diamond.

Kwa mtazamo wangu, malumbano haya ya mitandaoni hayana tija. Ni jambo la kusikitisha kuona watu wa familia waliowahi kufanya kazi pamoja kwa zaidi ya miaka 10 wakitupiana maneno na kudhalilishana hadharani.

Cha msingi kwa sasa ni kuhakikisha Mkubwa Fella anapatiwa matibabu sahihi na anapona. Masuala mengine yaachwe pembeni. Ni busara kwa watu wote waliopo kwenye pande hizi mbili kuwa watulivu, waache kutupiana lawama na kuepuka mivutano isiyo ya lazima mitandaoni.

Hopetyga

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG