Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amenunua tiketi zote za mchezo wa fainali ya NMB Mapinduzi Cup 2026 kati ya Azam FC na Yanga SC.
Fainali hiyo itapigwa tarehe 13 Januari 2026 saa 10:30 jioni kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.
Kiingilio ni bure!
#ZBCUpdates
#NMBMapinduziCup2026
Tags
HABARI/ MICHEZO
