BANDA MEDIA BLOG

MSEMAJI WA SERIKALI AMFAGILIA BACCA KWA KUMKABA OSIMHEN

 

Msigwa ametoa kauli hiyo  Jumamosi Januari 10, 2026, wakati wa hafla ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuipongeza timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, pamoja na wanamichezo wengine inayofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

“Huyu ni Sanjenti wa KMKM, alimkaba yule Osimhen anayecheza Galatasary mpaka akakasirika akatolewa na hakufunga na Bacca amekuwa maarufu dunia nzima,” amesema.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), benchi la ufundi, wachezaji wa Taifa Stars pamoja na wadau wa michezo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG