BANDA MEDIA BLOG

SPIKA WA BUNGE AMEWASILI NCHINI INDIA KUHUDHULIA MKUTANO WA 28 WA MASPIKA WA MABUNGE WA JUMUIA YA MADOLA

 



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi na kupokelewa na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Anisa Mbega leo tarehe 14 Januari, 2026 Jijini New Delhi nchini India.

Mhe. Spika amefika nchini India kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 28 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola.

Mkutano huo wa siku tatu (3) unategemewa kufunguliwa kesho tarehe 15 Januari, 2026 na Waziri Mkuu wa India, Mhe. Narendra Modi.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG