BANDA MEDIA BLOG

SPIKA ZUNGU AWASILI CHAKECHAKE MKOA WA KUSINI PEMBA

 


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akipokelewa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Khadija Salum Ali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo Januari 7, 2026 ambapo anategemea kushiriki uzinduzi wa mradi wa Dakhalia ya Skuli ya Sekondari Kiwani, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akiambatana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Khadija Salum Ali ((kushoto mbele) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba Wilaya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo Januari 7, 2026 ambapo anategemea kushiriki uzinduzi wa mradi wa Dakhalia ya Skuli ya Sekondari Kiwani, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG