BANDA MEDIA BLOG

SUGU AMELAZWA AFRICA KUSINI, AMEANDIKA UJUMBE HUU KWA WATANZANIA

 


AMEANDIKA SUGU.

"Mwaka 1993 nilijaribu kuingia nchi hii na sikufanikiwa kuingia, wakati huo nilikuwa nakuja

KUTAFUTA MAISHA...

Hatimaye leo 2026 ndio nafanikikiwa kuingia SA, sio tena kutafuta maisha ila sasa ni KUOKOA MAISHA!

Asante sana MUNGU na Madaktari kwani afya yangu sasa imetengemaa na soon nitakuwa FIT 💯

🙏🏽


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG