Timu ya Taifa ya Ivory Coast, ‘The Elephants’ imetinga robo ya Kombe la Mataifa Afrika, AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Burkina Faso kwenye hatua ya 16 bora.The Elephants watachuana na mafarao, Misri kwenye hatua ya robo fainali
Ivory Coast 3-0
Burkina Faso
20’ Amad
33’ Diomande
87’ Toure
Tags
MICHEZO