BANDA MEDIA BLOG

DIMWA ZIARANI KUJENGA UHAI WA CHAMA NAJUMUIYA ZAKE KATAVI

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Mohammed (DIMWA) amefanya ziara ya kukuza uhali wa chama na jumuiya zake katika Mkoa wake wa Ulezi,Mkoa wa katavi katika shamra shamra za kuazimisha sherehe za kuzaliwa chama Cha mapinduzi kilichi timiza miaka 49,

Dkt. Dimwa amefanya  mambo yafuatayo kuelekea kilele Cha sherehe za kuzaliwa chama Cha mapinduzi katika Mkoa wa Katavi wilaya ya Mpanda.

- Upandaji wa Miti.

- Kutembelea kiruo Cha watoto Yatima. 

- Kukata keki ya kusherehekea kutimia miaka 49 ya kuzaliwa chama Cha mapinduzi.

- Mwisho alifanya mkutano wa Hadhara na kuzungumza na wanachi pamoja na wanachama wa chama Cha mapinduzi.
















 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG