Kutokana na mashambulizi ya Serikali ya DRC viongozi wengi wa M23 waliuawa. Ukiachana na #WillyNgoma, hii hapa orodha ya viongozi wengine waliouawa wakati wa shambulio la drone huko Rubaya tarehe 24 Februari 2026:
1. Msaidizi wa karibu wa Gavana wa M23 na wengine watano ambao hawajatambulika
2. Kaka yake ya Makenga pia ameumia vibaya tumboni.
3. Major Pascal, msaidizi wa usalama wa Nzenze
4. Colonel Safari, msaidizi wa karibu wa Imani Nzenze
5. Éric Kazungu: Kiongozi Mkuu wa ulinzi wa Makenga.
Bado tunaendelea kufuatilia.
Tags
DRC CONGO
