BANDA MEDIA BLOG

IJUMAA YA FEBRUARI 6,2026 WATUMISHI KUTOANA JASHO KWENYE BONANZA LA JIJI LA DODOMA

Mazoezi ya mchezo wa Bao la Kiswahili yakiendelea katika eneo la Makole ambapo wachezaji walijinasibu kutoa burudani nzuri na kuibuka na ushindi siku ya ijumaa tarehe 06 Februari, 2026 litakapofanyika bonanza la watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG