BANDA MEDIA BLOG

JENERALI VENANCE MABEYO AONGOZA KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI NCAA

 

Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Venance Salvatory Mabeyo imeanza Vikao vya Bodi hiyo ngazi ya Kamati za Kisekta kujadili utekelezaji wa Majukumu mbalimbali ya shirika kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita (Julai- Desemba 2025) mwaka wa Fedha 2025/2026    

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG