BANDA MEDIA BLOG

MSIWEKE PICHA YANGU KWENYE OFISI ZENU MIMI SIYO MUNGU

Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, ameweka wazi kwamba hataki picha zake kuwekwa ofisini. Alisema watu wanapaswa kuweka picha za waume zao, wake zao au watoto wao ili wanapotaka kuwa wavivu, waangalie familia zao na kupata motisha.

Alisema yeye sio Mungu hataki kuabudiwa.
 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG