Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisali katika Ibada ya Jumapili kwenye Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Usharika wa Arusha Mjini, Februari 1, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Washiriki wa Ibada ya Jumapili kwenye Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Usharika wa Arusha Mjini, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza, Februari 1, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Ibada ya Jumapili kwenye Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Usharika wa Arusha Mjini, Februari 1, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Godson Abel Mollel na viongozi wa Mkoa wa Arusha baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili kwenye Kanisa Kuu la KKKT Usharika wa Arusha Mjini, Februari 1, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
MAKANISANI
