BANDA MEDIA BLOG

HEKO KWAKO KATIBU MKUU LAWI WA ACT. KUTIMIZA MWAKA MMOJA KAZINI


 Salaam za Pongezi.

CHANNEL ya mtandaoni ya Banda Media Tunakupongeza Kasisi Canon. Dkt. George Otieno Lawi, Katibu Mkuu, Kanisa Anglikana Tanzania, kwa kutimiza mwaka mmoja wa utumishi Ofisini. 24 machi 2026.

Mungu akupe Hekima na Maarifa ya kulichunga na kuliongoza Kanisa lake ili watu wote wamkiri Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG