BANDA MEDIA BLOG

IRAN Yakanusha Vikali Kuwa na Mpango wa Kuishambulia Kenya

 

Iran imesema haina mpango wa kuishambulia Kenya, kwa sababu kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Kenya haina uwezo wa kuilenga Iran.

Iran imejibu mashambulizi kwa kulenga vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyopo katika nchi za Mashariki ya Kati.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG