BANDA MEDIA BLOG

HABARI PICHA: ALIYEKUWA AFISA HABARI BMH, KAZOKA AZIKWA TABORA

 

Mwili wa Ludovick Kazoka, umepumzishwa Aprili 21,2026, Tabora – Mjini, baadhi ya watumishi wa BMH wameungana na familia kumpumzisha.

Marehemu Kazoka alikuwa Afisa Habari wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, alifariki  asubuhi ya Tarehe 19 Aprili 2026.

Kazoka alikuwa akiugua kwa muda mrefu na alikuwa akipata matibabu ya dialysis katika hospitali ya BMH.

Marehemu Ludovick Kazoka atakumbukwa kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na umahiri wake wa uandishi wa makala za kina za Afya hususani zinazotokea BMH.  

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG