BANDA MEDIA BLOG

HABARI PICHA: MAKAMU WA RAIS DKT. NCHIMBI MGENI RASMI USIKU WA MTANZANIA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ambapo ni mgeni rasmi katika Hafla ya Usiku wa Mtanzania ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.       

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG