BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI YA NTYUKYA – MVUMI- KIKOMBO MKOANI DODOMA

 Munekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa barabara ya Ntyuka – Mvumi – Kikombo Mkoani Dodoma ambayo Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alikagua ujenzi wake akiwa katika ziara ya jimbo la Mvumi, Aprili 12, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Munekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa barabara ya Ntyuka – Mvumi – Kikombo Mkoani Dodoma ambayo Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alikagua ujenzi wake akiwa katika ziara ya jimbo la Mvumi, Aprili 12, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye kijiji cha Makang’wa katika jimbo la Mvumi kukagua ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Ntyuka – Mvumi – Kikombo Mkoani Dodoma, Aprili 12, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimsikiliza Mkurugunzi wa Miradi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Japheson Nnko alipokagua ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Ntyuka – Mvumi – Kikombo Mkoani Dodoma, Aprili 12, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM moka wa Dodoma, Adam kimbisa, Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega na Mkuu wa Moka wa Dodoma, Rosemary Senyamule. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Ntyuka – Mvumi – Kikombo Mkoani Dodoma, Aprili 12, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi alipowasili kwenye kijiji cha Makang’wa katika jimbo la Mvumi kukagua ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Ntyuka – Mvumi – Kikombo Mkoani Dodoma, Aprili 12, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG