KOCHA WA ZAMANI WA YANGA SC, PEDRO GONCALVES hajawahi kufungwa mchezo wowote wa Ligi Kuu tangu apewe jukumu la kuiongoza timu ya wananchi.
Kocha huyo alianza kuiongoza Yanga kwenye mchezo wa 3 wa Ligi kuu 🆚 Mtibwa Sugar na matokeo yake yapo hivi...
✅Yanga SC 2-0 Mtibwa Sugar
✅Yanga SC 4-1 KMC FC
✅Yanga SC 2-0 Fountain Gate
✅Coastal Union 0-1 Yanga SC
✅Yanga SC 6-0 Mashujaa FC
✅Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji
✅Namungo FC 0-1 Yanga SC
✅Yanga SC 5-0 JKT Tanzania
➖Yanga SC 0-0 Simba SC
✅Singida BS 0-3 Yanga SC
✅Prisons 0-1 Yanga SC
➖Azam FC 0-0 Yanga SC
➖TRA United 0-0 Yanga SC
➖Mtibwa Sugar 1-1 Yanga SC
✅Yanga SC 3-0 Prisons
✅Pamba JiJi 0-3 Yanga SC
✅Yanga SC 6-0 Mbeya City
➖Simba SC 2-2 Yanga SC
✅KMC FC 0-1 Yanga SC
Kocha Pedro aliiongoza Yanga SC katika Mechi 19 za Ligi Kuu na kushinda mechi 14, sare 5 na hakuna kipigo. Magoli 44 ya kufunga na magoli matano pekee ya kufungwa, timu ipo nafasi ya kwanza ikiwa na points 51.🔥
Ni takwimu nzuri sana na kwa kuzingatia hizi takwimu unadhani ni uamuzi sahihi wa kumfukuza? Je sababu ni nini?
#daimambelenyumamwiko
