Mwanamziki/Mchungaji Christina Shusho amezua sitofahamu kwa watu wengi baada ya kuongea maneno ambayo ni kama matusi au kejeli kwa Ex Husband wake bwana John Shusho na familia yake nzima, Shusho anadai yeye ndio alikuwa namhudumia mumewe kwa kila kitu na ndugu wa mume wake Nane..
"Niliolewa na mtu mmoja lakini nilikuwa nahudumia ndugu wa mume wengine nane, nilikuwa mtumwa, nilikuwa mrembo lakini nilikuwa mjinga kichwani. Nikajiuliza hivi nimeolewa au ni mfanyakazi wa hawa watu? Sasa hivi sina ule uzuri tena lakini kichwani niko smart, najielewa na kujitambua nipo na mume wangu huyu wa Sasa ananijari ndio maana unaona narudi usichanani"- amesema Christina Shusho kwenye semina ya wakinamama.
Pamoja na kuwa mzee aliyemtolea mahali na Christina akaenda upande wa mume.. Pia Mzee Shusho ndiye aligundua Kipaji chake na kumpeleka studio na alimsaport siku zote kufanya muziki wake ..
Una lipi la kumshauri dada yetu ??
Tags
DINI NA MADHEHEBU
