Hivi ndivyo ilivyokuwa jana
Novemba 26,2015
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kutengua zuio la Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza la kuzuia ibada ya mazishi ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo alieuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana Novemba 14 mwaka huu Mkoani humo.

Tags
HABARI KITAIFA